- 426 viewsAkizungumza na Sauti ya Amerika, Nicholaus Kaserwa, Afisa Mwandamizi wa Uendeshaji Biashara wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), alisema kuwa mfumo huo wa kidijitali umeanzishwa na serikali kwa lengo la kurahisisha ununuzi na uuzaji wa madini. "Katika sekta ya madini, maboresho yanakuja kupitia mnada wa mtandao. Madini yanachambuliwa, kuwekwa kwenye mafungu ya lot, na kutengeneza katalogi ambayo inawasilishwa kwa wanunuzi. Wanunuzi huipitia, kuchagua wanachotaka kuona, na hatimaye kuweka bei zao kupitia mfumo wa kidijitali," alisema Kaserwa. #tanzania #mfumo #kidigitali #madini #ununuzi #uuzaji #sokolabidhaa #nicholauskaserwa #mererani #manyara #mkoa #voa #voaswahili
Tanzania yaanzisha mfumo wa kidigitali katika sekta ya madini
- 7 Aug 2025 - Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project