Tashwishi Zaibuka Kuhusu Uteuzi wa Makamishna Wapya wa IEBC

  • | NTV Video
    706 views

    Majina ya waliopendekezwa na Rais Ruto kwa tume ya IEBC yanasubiri kupigwa msasa bungeni, huku wadau wakitilia shaka mchakato mzima wa uteuzi licha ya matumaini ya kupitishwa kwao kupitia wingi wa wabunge wa serikali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya