Tatizo la nasuri lawalemea wanawake Makueni

  • | Citizen TV
    236 views

    Tatizo la nasuri limendelea kuwalemea wanawake wengi huku wengi wa wale wanaopitia tatizo hilo wakiendelea kujificha na kunyamazia swala hilo kwa sababu ya unyanyapaa licha ya kuwa ni tatizo linaloweza kutibwa. Katika kaunti ya Makueni, licha ya kutolewa kwa huduma za matibabu kwa wanawake wenye tatizo hili, ni wachache tu wanaofika kutafuta usaidizi