Taulo za kike za bei nafuu, zinazoweza kutumika tena.

  • | BBC Swahili
    276 views
    Wanawake na wasichana wengi barani Afrika hawawezi kumudu taulo za kike zinazoweza kutumika mara moja na kutupwa. Hivyo mjasiriamali na mwanaharakati Elsa M'béna Ba anatumia vitambaa alivyopewa kama msaada na kuvigeuza kuwa taulo za kike zinazoweza kutumika tena zaidi ya mara moja za bei nafuu. Pia huwafundisha wanawake na wasichana jinsi ya kutengeneza wao wenyewe. #bbcswahili #afrika #wanawake