Skip to main content
Skip to main content

Tawasifu ya mwanasiasa na waziri Dalmas Otieno

  • | KBC Video
    162 views
    Duration: 2:24
    Dalmas Otieno Anyango ni mwanasiasa mkongwe aliyezaliwa tarehe 19 mwezi Aprili mwaka-1945 kwenye kijiji cha Kangeso, eneo bunge la Rongo. Mlumbi huyu alipata umaarufu alipojiunga na bunge katika mwaka-1988 kuhudumu kama mbunge wa Rongo, wadhifa ambao aliudumisha kwa mihula kadhaa. Mwanahabari wetu Giverson Maina na kina cha taarifa hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive