Tazama namna mnyama huyu wa baharini anavyocheza mpira wa kikapu

  • | BBC Swahili
    702 views
    Wafanyikazi katika bustani ya wanyama ya Oregon nchini Marekani walimfundisha mnyama aina ya otter mwenye umri wa miaka tisa, Juno, jinsi ya kucheza mpira wa kikapu miaka kadhaa iliyopita kama njia ya kufanya mazoezi ya viungo ili kuzuia ugonjwa wa yabisi. #bbcswahili #marekani #wanyama