Teddy Mwambire abanduliwa na wawakilishi wadi Kilifi

  • | Citizen TV
    121 views

    Spika wa bunge la kaunti ya kilifi teddy mwambire amebanduliwa rasmi mamlakani kama spika wa bunge la kaunti hiyo na wawakilishi wadi wa bunge hilo.