Thika: Wadau wa sekta ya utalii wamewataka Wakenya kutumia fursa za kipekee kutembelea maeneo

  • | NTV Video
    128 views

    Wadau wa sekta ya utalii katika eneo la Wadi, Thika, wamewataka Wakenya na wawekezaji kutumia kikamilifu fursa za kipekee zinazopatikana katika eneo hilo, likiwemo kivutio maarufu cha Fourteen Falls.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya