Thuluthi mbili ya uakilishi yasalia ndoto

  • | KBC Video
    57 views

    Jopo la wadau mbali mbali kuhusu utekelezaji wa sheria kuhusu hitaji la thuluthi mbili ya uwakilishi wa kijinsia limependekeza marekebisho ya katiba na sheria ya uchaguzi na vyama vya kisiasa ili kuafikia idadi hitajika ya wanawake bungeni. Waziri wa masuala ya Jinsia, Utamaduni na sanaa, Aisha Jumwa aliyepokea ripoti ya jopo hilo alielezea matumaini yake kwamba bunge litaridhia marekebisho yaliyopendekezwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive