Tiketi za kielektroniki tu zitaruhusiwa Kasarani | Mashabiki watakiwa kufika saa 5 kabla ya mechi

  • | Citizen TV
    342 views

    SERIKALI SASA INAWATAKA MASHABIKI KUFIKA KATIKA UWANJA WA KASARANI TAKRIBAN SAA TANO KABLA YA MECHI KATI YA HARAMBEE STARS NA CHIPOLOPOLO KUTOKA ZAMBIA SIKU YA JUMAPILI. MWENYEKITI WA KAMATI ANDALIZI YA CHAN NCHINI NICHOLAS MUSONYE AMESEMA HATUA HIYO NI YA KUHAKISHA KUWA TARATIBU ZA USALAMA ZIMEZINGATIWA. TAYARI TIKETI ZOTE 27,000 ZIMEUZWA NA WATAKAORUHUSIWA KUINGIA UWANJANI NI WALIO NA TIKETI ZA KIELEKTRONIKI PEKEE