Timu ya AFC Leopards yailaza timu ya Zetech Titans 2-0

  • | Citizen TV
    196 views

    AFC Leopards imefuzu kwa awamu inayofuata ya kombe la FKF baada ya kuwalaza Zetech titans ya daraja la kwanza mabao mawili bila uwanjani kasarani.