Timu ya Homa Bay yamaliza katika nafasi ya tatu ya mashindano ya kitaifa ya kombe la Talanta

  • | Citizen TV
    196 views

    Timu Ya Kandanda Ya Chipukizi Ya Kaunti Ya Homa Bay Imemaliza Katika Nafasi Ya Tatu Ya Mashindano Ya Kitaifa Ya Kombe La Talanta Baada Ya Kuicharaza Uasin Gishu Kwa Mabao 4-1 Katika Uwanja Wa Kitaifa Wa Nyayo Mjini Nairobi.