Timu ya Ngata United yaitandika Juhudi United Nakuru

  • | Citizen TV
    148 views

    Timu ya Ngata United imeitandika juhudi united na kutwaa ushindi kupitia mikwaju ya penalti katika mechi iliyochezwa katika uga wa shule ya msingi ya Ngata, eneo la Mosop kaunti ya Nakuru. Washindi walitunukiwa zawadi ya shilingi nusu milioni pesa tasilimu pamoja na zawadi zinginezo kwenye mechi hiyo iliyodhaminiwa na mumewe Gavana wa Nakuru, Sam Mburu Kamau. Msaidizi wa rais Farouk Kibet amesema kuwa mechi hizo zinasaidia kukuza talanta za vijana na kuwaepusha na uhalifu.