Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars yafanya mazoezi yao ya mwisho kabla kuwavaa Gabon

  • | Citizen TV
    909 views

    Timu Ya Taifa Ya Kenya Harambee Stars Ilifanya Mazoezi Yao Ya Mwisho Uwanjani Stade De La Rénovation De Franceville, Tayari Kuwavaa Wenyeji Wao Gabon Hii Leo.