24 Sep 2025 1:56 pm | Citizen TV 359 views Duration: 52s Timu ya taifa ya baseball ya wachezaji watano imefika mjini nayarit mexico tayari kwa mchuano wa dunia unaoanza rasmi hii leo.