- 308 viewsDuration: 51sTimu za Kenya zilipata matokeo tofauti katika raundi ya mtoano ya michuano ya Klabu Bingwa ya Voliboli ya wanaume huko Kigali, Rwanda. Mamlaka ya Bandari ya Kenya na Benki ya Equity walikuwa uwanjani, huku KPA wakifuzu robo fainali na Equity wakibanduliwa.