Timu za talanta hela zarejea nyumbani

  • | Citizen TV
    115 views

    Timu za chipukizi za talanta hela zimerejea nyumbani mapema hii leo baada ya kushiriki kombe la costa daurada nchini uhispania na pia kuhudhuria mafunzo maalum ya soka katika shule ya kandanda ya nastic mjini tarragona.