Timu za voliboli ya walemavu zajiandaa kwa mchuano wa Afrika, Kasarani

  • | Citizen TV
    58 views

    Timu za Kenya za mchezo wa voliboli ya walemavu zimeendeleza na maandalizi yao tayari kwa mchuano wa Afrika utakaoanza rasmi ijumaa uwanjani Kasarani hapa Nairobi. Kulingana na wasimamizi, zaidi ya mataifa kumi yatakayoshiriki yalitarajiwa kuwasili leo huku Kenya ikilenga tiketi za kushiriki mchuano wa dunia. Upande wa wavulana umeratibiwa kuchuana na Algeria na Rwanda huku wanawake wakikabiliana na Nigeria na Rwanda. Ufunguzi rasmi utakuwa ijumaa katika uwanja wa Kasarani.