Tishio la lugha ya Kiswahili

  • | Citizen TV
    177 views

    Taasisi za elimu nchini zimehimizwa kuendelea kukuza lugha ya Kiswahili ili kuimarisha matumizi yake. Walimu wa Kiswahili ambao walikuwa wakizungumza kwenye mashindano ya Lugha yaliyoandaliwa mjini Kitengela, wameeleza wasi wasi wao kuhusu kuendelea kudidimia kwa lugha ya Kiswahili wakisema kuna haja ya lugha hiyo kulindwa kwa hali na mal