Tofauti zaibuka kati ya vyama vya walimu nchini kuhusu mgomo

  • | Citizen TV
    7,968 views

    Tofauti zimeibuka kati ya vyama vikuu vya walimu nchini kuhusiana na mgomo wa walimu uliokuwa umetangazwa kuanza hapo kesho. Chama cha waalimu KNUT kimetangaza kusitisha mgomo, huku kile cha KUPPET kikisema mgomo huo ungalipo na walimu wake hawatarejea darasani. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, wizara ya elimu imesisitiza kuwa, masomo ya muhula wa tatu yataanza hapo kesho