- 14,745 viewsDuration: 1:26Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za Mwaka Mpya, akisisitiza kuwa ajenda kuu mwanzoni mwa mwaka ni kuimarisha umoja wa kitaifa. Aidha, amewataka wananchi kutoruhusu tofauti za kiitikadi au kimtazamo kuwagawa na hivyo kuhujumu malengo ya maendeleo ya taifa. Rais Samia pia ametoa shukrani za dhati kwa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi wote kwa kuendelea kudumisha amani na mshikamano. Amesema kupitia ushirikiano huo, Tanzania imeendelea kuthibitishia ulimwengu kuwa ni taifa imara na lenye ustahimilivu. - - #bbcswahili #raissamiasuluhuhassan #mwakampya2026 #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw