Skip to main content
Skip to main content

Trump adai China, Urusi na Korea Kaskazini wanapanga njama dhidi ya Marekani

  • | BBC Swahili
    16,217 views
    Duration: 4:52
    Rais wa Marekani Donald Trump amewashutumu viongozi wa Urusi, China na Korea Kaskazini kwa kupanga njama dhidi ya Marekani baada ya kuonekana pamoja hadharani kwa mara ya kwanza. Walialikwa Beijing na Rais Xi Jinping kutazama moja ya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini humo kuashiria ushindi wake dhidi ya Japan katika vita vya Pili vya dunia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw