Skip to main content
Skip to main content

Trump aisuta bara Ulaya kuhusu Greenland

  • | BBC Swahili
    21,927 views
    Duration: 43s
    Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Davos Uswizi kwa kongamano la kila mwaka kuhusu uchumi wa dunia. Kiongozi huyo wa Marekani anatazamiwa kuendeleza mchakato aliouanzisha kuhusu kutaka kununua na kumiliki kisiwa kikubwa duniani cha GREENLAND anachosisitiza kina umuhimu mkubwa katika Ulinzi wa kitaifa wa Marekani. Sasa uwepo wa Trump kule DAVOS kutatatua mzozo uliopo kwa sasa ama ndio mwanzo mkoko unaalika maua? @midababirye anachambua kwa undani suala hili kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #davos #uchumi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw