Skip to main content
Skip to main content

Trump aondoka na dili kubwa: Ni nini walichokubaliana na Starmer?

  • | BBC Swahili
    2,652 views
    Duration: 5:59
    Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wamesifia uhusiano wa karibu kati ya nchi zao katika ziara ya kitaifa ya siku mbili. Wametia saini makubaliano ya teknolojia ya dola bilioni 200 na kujadili masuala ya biashara, ulinzi, na migogoro ya Ukraine na Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw