Trump atoa onyo kali kwa Putin, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    28,700 views
    Rais wa Marekani Donald Trump, amesema kwamba anaweza kumpa Rais wa Urusi Vladimyr Putin makataa ya kukubali kusitisha vita nchini Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw