- 40,930 viewsDuration: 1:01Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa nchi yake itaiongoza Venezuela mpaka pale uongozi mpya wa nchi hiyo utakapopatikana kwa njia salama, bora na kisheria. Trump pia ametoa onyo kwa viongozi wa kijeshi na kisiasa waliosalia Venezuela kuwa wanaweza kukamatwa na Marekani kama walivyomkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw