- 11,820 viewsDuration: 28:10Trump anadai ametatua migogoro saba mikubwa akiwa rais na alidhani vita vya Ukraine vingekuwa rahisi kumaliza kutokana na uhusiano wake na Putin. Hata hivyo, baada ya kumkaribisha Putin Alaska mwezi uliopita, anasema Putin amemvunja moyo na hakuna makubaliano yaliyofikiwa licha ya maendeleo kidogo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw