- 32,082 viewsDuration: 4:16Truphena Muthoni , msichana wa miaka 22 kutoka nyeri, anashikilia rekodi ya dunia ya kuukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo, baada ya kukamilisha zoezi alilolianza jumatatu saa sita na dakika ishirini na tano adhuhuri. Ikidhibitishwa, na kitabu cha rekodi ya dunia cha Guiness, Truphena atasalia binadamu wa pekee kuiweka rekodi ya saa 48 na kuivunja mwenyewe ndani ya miezi 9