Tshisekedi amteua kiongozi wa zamani wa wanamgambo kuwa Waziri wa Ulinzi

  • | VOA Swahili
    2,684 views
    Kiongozi wa zamani wa wanamgambo ateuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi DRC Rusesabagina ambaye alionyeshwa kama shujaa katika filamu ya Hotel Rwanda anatarajiwa kuachiwa kesho. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.