TukTuk zinazotumia umeme zazinduliwa Nairobi

  • | Citizen TV
    132 views

    Kenya imezindua Tuk Tuk yake ya kwanza ya umeme inayotumia nishati ya jua na Ambulensi ya magurudumu matatu iliyoundwa mahsusi kuhudumia jamii za mashinani