Uchaguzi mdogo wa Mumbuni Kaskazini utafanyika Novemba

  • | Citizen TV
    114 views

    Chama cha Wiper Patriotic front kimemtangaza Anthony Kyalo Kisoi kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa wadi ya mumbuni kaskazini utakaofanyika mwezi Novemba.