"Tulichukua kiapo kufanya kazi Kenya nzima, lakini huwezi kufanya kazi mahali kifo kinakungoja"

  • | VOA Swahili
    660 views
    Kwa wiki moja mamia ya walimu wamekuwa wakiweka kambi katika ofisi ya tume ya kuajiri walimu wakitaka uhamisho kutoka eneo la Wajir. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya walimu kuhusu hatari zinazowakabili na kutoa sababu ya kushindwa kuendelea kufanya kazi katika eneo hilo la Wajir, Mmoja wa walimu anasema walikula kiapo kufanya kazi Kenya nzima, lakini huwezi kufanya kazi mahali kifo kinakungoja. Endelea kusikiliza... #wajir #kenya #kifo #hatari #alshabaab #kaunti #uhamisho #tume #ajira #uhamisho #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
    shabaab