Tume ya EACC yaongoza mkutano kuhusu vita dhidi ya ufisadi katika kaunti ya mombasa

  • | Citizen TV
    250 views

    Kongamano la siku tano kuhusu ufisadi linang'oa nanga kaunti ya Mombasa hii leo. Kongamano hilo linawaleta pamoja maafisa wa serikali kuu na wale wa kaunti wanaohusika na utoaji zabuni. Kulingana na tume ya kupambana na ufisadi asilimia 80 ya ufisadi hufanyika katika ngazi hii.