Tume ya huduma za polisi yasitisha hatua ya polisi kuongezewa vyeo

  • | K24 Video
    74 views

    Tume ya huduma za polisi , NPSC, imepuuzilia mbali mabadiliko yaliyofanywa na inspekta mkuu wa polisi yaliyolenga maafisa mia tano katika idara ya polisi. Kupitia mkurugenzi mtendaji wa tume hiyo Peter Leley ni kuwa mabadiliko hayo yaliyofanywa na Japhet Koome yamefanyika kinyume cha sheria inayotumiwa kuajiri polisi na hivyo afisa atakayezingatia mabadiliko hayo atachukuliwa hatua kibinafsi