- 2,332 viewsDuration: 4:25Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetangaza kwamba hakutakuwepo na uratibu wa mipaka kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Mwenyekiti wa tume ya IEBC Erastus Ethekon alitaja uzingatiaji wa makataa ya kikatiba, mizozo ambayo haijatatuliwa kuhusu tawimu za sensa na haja ya kuepuka kuhujumu maandalizi ya uchaguzi mkuu, kama sababu za kuahirisha mchakato huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive