- 20,186 viewsDuration: 3:25ura na picha za mtu anayeaminika kuwa afisa wa polisi zilitanda mahakamani kwa mara nyingine wakati wa vikao vya uchunguzi kuhusu kifo cha Rex Masai ambaye aliuwawa kwenye kilele cha maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2024. Shahidi katika kesi hiyo Joshua Mutua, ambaye ni mtaalamu wa uchunguzi wa kisayansi katika Mamlaka ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi (IPOA), alitumia picha na video zilizorekodiwa wakati wa tukio hilo, na kumweka afisa huyo katika eneo la tukio ambapo Rex Masai alipigwa risasi