Tume ya kuajiri ya walimu TSC yazindua majaribio ya mafunzo kupitia mfumo wa kidijitali Bungoma

  • | K24 Video
    32 views

    Tume ya kuajiri walimu nchini (TSC) imezindua majaribio ya mafunzo kupitia mfumo wa kidijitali katika shule 12 kaunti ya bungoma. Tayari walimu 163,000 walikua wamepokea mafunzo kote nchini kuwezesha mfumo huo.