Tume ya kudhibiti maeneo ya kuabudu yapendekezwa baada ya ripoti ya Shakahola

  • | Citizen TV
    1,266 views

    Jopokazi maalum lilochunguza mauwaji ya shakahola sasa limependekeza kubuniwa kwa tume maalum itakayodhibiti shughuli za makundi ya kidini nchini. Jopokazi hili lilowasilisha ripoti yake kwa rais william ruto hii leo pia limependekeza makundi mapya ya kidini kupigwa msasa mkali zaidi, kabla ya kupewa vibali.