Tume ya kutetea haki za binaadamu yafanya kikao Machakos

  • | Citizen TV
    160 views

    Tume ya kutetea haki za kibinadamu inaendeleza mchakato wa kukusanya maoni kwa wadau mbalimbali kaunti ya Machakos ili kupiga jeki mbinu za kutetea haki za kibinadamu nchini