Tume ya SRC yasema mishahara inachukua malipo makubwa

  • | Citizen TV
    240 views

    Ongezeko la idadi ya wafanyikazi na kupungua kwa mapato ya serikali kumeendelea kuwa tisho kwa mikakati ya kupunguza gharama ya mishahara ya wafanyikazi wa umma nchini. Tume ya ya mishahara nchinii SRC sasa ikisema kuwa jumla ya shilingi trilioni moja ambayo ni nusu ya mapato ya taifa zilitumika kuwalipa mishahara ya wafanyikazi wa serikali 937,900 mwaka wa kifedha wa 2021/2022,