Tume ya ufisadi EACC yatoa ripoti kuhusu ufisadi 2023

  • | Citizen TV
    1,756 views

    Ripoti mpya ya tume ya ufisadi nchini sasa inaonyesha namna ufisadi ulivyoendelea kushamiri katika ofisi za serikali, huku Idara ya polisi, halmashauri ya NTSA na Idara ya uhamiaji zikiongoza orodha hii. Ripoti hii ikiashiria namna wakenya wanaotafuta kazi na paspoti wanavyolipa hongo ya juu wanapotafuta huduma hizi.