Tunaangazia kilimo cha aloe vera kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    253 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Baringo wameanza ukuzaji wa mmea wa Aloe Vera ili kuimarisha zaidi mapato yao ya biashara. Hatua hii inaashiria enzi mpya ya zao hilo ambalo hufanya vyema katika maeneo kame. Aidha Kaunti hiyo sasa inawahimiza wakulima kupata mafunzo ya jinsi ya kukuza mme huu