- 1,639 viewsDuration: 10:07Katika mahojiano maalumu kuelekea mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya michuano ya Afcon, Winga wa Tanzania Simon Msuva ameimbia BBC kuwa wanaimani watafanya vizuri katika mchezo unafuata licha kuwa timu ya taifa ya Tunisia ina wachezaji bora. @loko_omi alifanya mahojiano naye: 🎥 @brianmala #bbcswahili #tanzania #taifastars #msuva #soka #kandandaSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw