'Tunaweza kumaliza mwezi mmoja bila kuona mtu anauwa mwengine' - Rais wa Burundi

  • | BBC Swahili
    6,475 views
    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema kuwa Afrika Mashariki Ina maslahi zaidi ya usalama kuliko vikosi vya walinda amani wa umoja wa mataifa katika nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Ndayishimiye ambaye ni mwenyekiti ya jumuiya ya EAC amesema watafanya kila juhudi kurejesha Amani na utawala wa Sheria nchini DRC. Katika mahojiano na BBC mwandishi wetu Dinah Gahamanyi alimuuliza kwanza hali ilivyo kwa Sasa akilinganisha na miaka 3 alipochukua uongozi. #bbcswahili #burundi #EAC