Tundu Lissu arejea Tanzania baada ya miaka mitano

  • | BBC Swahili
    12,904 views
    Baada ya takribani miaka mitano nje ya nchi, hatimaye mwanasiasa wa upinzani, Mbunge wa zamani wa Singida Mashariki na mwanasheria nguli, aliyepata kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Antiphas Lissu, anatarajiwa kuwasilia nchini Tanzania siku ya leo kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa Januari 13, 2023. Video: Eagan Salla #bbcswahili #tanzania #tundulissu