Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena

  • | BBC Swahili
    191,793 views
    Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe. - Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC @sammyawami. - Sehemu ya pili ya mahojiano haya yatakujia punde... - 🎥: @eagansalla_gifted_sounds @frankmavura na @mtenganicholaus - - - #bbcswahili #tanzania #siasa #chadema #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw