Skip to main content
Skip to main content

Turkana: Njaa yawasukuma wanafunzi wengi kusalia nyumbani nyakati za masomo

  • | NTV Video
    114 views
    Duration: 3:10
    Kufuatia ukame wa muda mrefu masomo katika kaunti ya Turkana yanazidi kuzikwa katika kaburi la sahau. Njaa inawasukuma wanafunzi wengi kusalia nyumbani nyakati za masomo na baadhi ya madarasa kusalia mahame. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya