- 1,302 viewsDuration: 1:56Balozi wa Marekani humu nchini amesema Kenya itanufaika pakubwa na mpango wa Afya uliotiwa saini na Rais Ruto hapo jana nchini Marekani. Mpango huo wa miaka mitano utakaogharimu Marekani dolla billion 1.6 inanuiwa kusaidia katika kupambana na magonjwa ya HIV, TB na Malaria na kuboresha huduma za afya kote nchini.