Skip to main content
Skip to main content

Ubalozi wa Urusi wapinga tuhuma za kuhusika kuwasajili Wakenya kwa vita

  • | Citizen TV
    1,034 views
    Duration: 3:03
    Ubalozi wa Urusi hapa nchini umepinga ripoti ya idara ya ujasusi iliyowahusisha na sakata ya usajili wa wakenya kwenda kupigana katika vita kati ya Urusi na Ukraine. Ubalozi huo kwenye taarifa umesema kuwa ripoti hizo si za kweli na kusema kamwe hawajakuwa wakitoa stakabadhi kwa wakenya kusafiri kuelekea jijini Moscow kwa vita. Haya yamejiri huku familia za wakenya walioelekea Urusi zikitaka bunge na serikali kuingilia kati kuwarejesha jamaa zao nchini