- 81,190 viewsDuration: 9:18Uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua unaendelea shwari. Uchaguzi huo umeshuhudia idadi kubwa ya Wapiga Kura waliojitokeza kumchagua mbunge atakayemrithi David Kiaraho aliyefariki mwezi machi mwaka huu.